CCM SUMBAWANGA VIJIJINI YAWATAKA RUWASA KUWASIMAMIA WAKANDARASI IPASAVYO ILI WAKAMILISHE MIRADI IPASAVYO

Kamati ya Siasa CCM Sumbawanga Vijijini kwa kuambatana watendaji wa wakala wa maji vijijini na mjini RUWASA imefanya ziara kukagua utekelezaji wa miradi ya maji katika vijijin vya Ikozi,Msandamgano B na Kaengesa huku kamati hiyo ikiridhishwa na utekelezajiwa miradi hiyo,lichanya kuwepo kwa dosari ya wakandaras kutokamilisha miradi kwa wakati na kuwataka RUWASA kuongeza nguvu katika usimiamiaji wa miradi ya maji ilia iweze kutoa huduma kwa jamii katika muda uliopangwa.