MKURUGENZI WA SHIRIKA LA PLAN INTERNATIONAL AKISALIMIANA NA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MILUNDIKWA

Mkurugenzi wa shirika la plan International akisalimiana na wanafunzi wa shule ya msingi Milundikwa iliyopo Wilayan Nkasi mkoani Rukwa wakati alipofika shulen hapo kukafidhi miundombinu ya vyoo na vitabu vilivyo gharimu zaidi ya tsh mil 700